Hakuna namna nyingine ambayo mashabiki wa Yanga na Simba wanachotaka kusikia leo Jumapili zaidi ya timu hizo kushinda ugenini.
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Uganda (UPDF) na mtoto wa Rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba ...
Mamlaka jijini Los Angeles nchini Marekani zimethibitisha watu 16 kufariki dunia kutokana na janga la moto wa nyika ambao unaendelea kuteketekeza maeneo mbalimbali ya jiji hilo huku idadi ya ...
Zaidi ya koo 45 za kabila la Waluguru zimefanya tambiko la tano la kudumisha amani na umoja katika jamii, kutoa elimu ya ulinzi na uhifadhi wa mazingira na kupambana na ukatili wa kijinsia ...
Mazungumzo ya utekelezaji wa mradi wa kusindika gesi asili kwenda kwenye kimiminika (LNG) mkoani Lindi huenda yakafika tamati mapema mwaka huu, huku kila upande ukiwa na matumaini ya ...
Pato la mtu mmojammoja nchini limeongezeka hadi kufikia wastani wa Sh3.055 milioni kwa mwaka 2023, Ripoti ya mwaka 2023/2024 ...
Tanzania imeendelea kung’ara katika nyanja za kimataifa baada ya Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk John Rwegasha kuteuliwa kushika wadhifa wa Mkuu wa Kitengo ...
Makundi mbalimbali ya wananchi wanaohudhuria kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi UwaNja wa Gombani ...
Licha ya juhudi zinazofanywa na mataifa mbalimbali Afrika kuhakikisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi wake, zaidi ya nusu ...
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Sera ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ya 2014 toleo la 2023, Januari ...
Inaelezwa viongozi wengi wanaoongoza vikundi vya upatu wanakutana na changamoto kubwa ya madeni baada ya washiriki kushindwa kulipa fedha kwa wakati, kuchelewesha, au hata kutoweka bila taarifa.