Mmoja wa wafanyabiashara wa mji huo, Joseph Amani amesema kuadimika kwa bidhaa hiyo kunatokana na ongezeko la watumiaji.
Dar es Salaam. Wakristo wametakiwa kutafakari na kutenda yaliyo mema ili kuyaweka maisha yao na Taifa lao katika nuru, wakati ...
Mwathirika wa tukio hilo ni mtoto wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Majengo katika wilaya ya Mpanda na tuhuma za kuzini na baba yake mzazi zinadaiwa kutendeka kati ya Januari mosi, ...
Ule utamaduni wa watu kurejea majumbani ‘kuhesabiwa’ kipindi cha mwishoni mwa mwaka siyo kwa wenyeji wa Mkoa wa Kilimanjaro ...
Watanzania wametakiwa kuwa na utamaduni wa kujisomea vitabu kwa ajili ya kujiongezea maarifa ikiwamo mbinu za kujiendeleza ...
Baada ya vigogo wanne wa Chadema kuchukua fomu kuwania uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa, mchuano sasa umeanza kupamba ...
Askari polisi wa Kituo cha Kibaya wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara, Geogre Mwakambonjo (40) amefariki dunia baada ya kugongwa ...
Wakati Mamlaka ya Uhifadhi na Usimamizi wa Mji Mkongwe ikisitisha kwa muda mchezo wa makachu Forodhani, vijana na wadau ...
Bao la mkwaju wa penalti la dakika za lala salama la Charles Ahoua leo limeiwezesha Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema jiji linajiandaa kufanya biashara kwa saa 24 na kamati maalumu ...
Wakati Watanzania wakisherehekea sikukuu ya Krismasi leo Desemba 25, 2024, Jeshi la Polisi limewahakikishia usalama ...
Dodoma. Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) imewataka walaji wa nyama katika kipindi hiki cha sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya ...