Rais Samia Suluhu Hassan ametekeleza ahadi yake ya kugawa miche 500,000 ya minazi kwa wakulima wa mikoa ya Lindi na Mtwara.
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya chakula na vinywaji kwa watoto wenye mahitaji maalumu katika kituo cha Buhangija ...
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizundua jengo la stesheni ya SGR 01 Agosti, 2024. Picha: Ikulu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa safari za treni ya reli ya kiwango cha ...
BALOZI wa Marekani nchini, Michael Battle ameisifia treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kwa huduma bora na huku akisema amesafiri ...
DAR ES SALAAM; MAKANISA mbalimbali nchini yameendesha ibada ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2025 huku viongozi wake wakitaka ...
Watumiaji wanne wa mitandao ya kijamii walitoweka baada ya kuchapisha picha zilizotengenezwa na AI za Rais William Ruto ambazo zilionekana kuwa za kuudhi kwa wafuasi wa serikali. Makundi ya haki ...
Pichani, aliyekuwa Rais wa Marekani Jimmy Carter na famila yake picha hii ilipigwa manmo mwka ... Amesema Carter atakumbukwa kwa juhudi zake za kutetea amani, kuboresha afya ya umma na demokrasia ...
Kabla ya kuvumbuliwa picha watu walitegemea wachoraji ili kupata picha za wanyama au binadamu, kabla ya ujio wa picha safi bila uchoraji. Karne hii unaweza kupiga picha kwenye simu yako au ...
Na Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha, Getty Images Rais mteule Donald Trump amelalamika kwamba bendera za Marekani bado zitakuwa zimeshushwa nusu mlingoti kwa heshima ya marehemu Rais Jimmy Carter ...
Picha za Rais wa Urusi Vladimir Putin na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un zilionyeshwa darasani ambako wanaklabu walikutana, pamoja na vipande vya gazeti vyenye mkutano wa viongozi hao ...
Chama cha People Power Party (PPP), chama cha kihafidhina kilicho madarakani, kimejaribu kuweka akidi ya kura 200 za rais kuondolewa madarakani, kama ilivyo kwa rais. Majukumu mawili ya Han Duck ...