alichukua nafasi ya Rais Boris Yelzin aliyekuwa mgonjwa. Katika hotuba yake ya mwanzo, Putin alisisitiza kuwa Urusi ilikuwa na itaendelea kuwa taifa lenye nguvu kubwa. Barani Ulaya, alionekana ...
Waziri Mkuu Han Duck-soo, anayekaimu nafasi ya Yoon, naye pia amepigiwa kura ya kutokuwa imani na bunge linalotawaliwa na upinzani. Soma zaidi: Wabunge Korea Kusini wamuondoa rais wa pili katika ...
"Waranti ya kukamatwa na hati ya upekuzi dhidi ya rais Yoon Suk-yeol... imetolewa asubuhi ya leo," mamlaka inayoongoza uchunguzi wa pamoja dhidi ya Yoon Suk-yeol imesema katika taarifa.
Nchini Korea Kusini, rais aliidhinisha jeshi kufyatua risasi kuingia Bungeni, kulingana na ofisi ya mwendesha mashtaka wa Korea Kusini. Mnamo Desemba 3, mkuu wa nchi, aliyesimamishwa kazi kwa sasa ...
Wachunguzi wa Korea Kusini wamemtaka tena kaimu rais wa nchi hiyo Jumamosi kuamuru idara ya usalama ya rais kufuata agizo la kukamatwa kwa Rais aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol. Na Dinah ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi ameifungua Skuli ya Kwanza ya Ghorofa Kisiwani Tumbatu iliyogharimu Shilingi Bilioni 7.015. Akizungumza na wananchi baada ya ...
Kulikuwa na zaidi ya maafisa 100 wa polisi wa Korea Kusini na walikuwa na kibali cha kumkamata - lakini wameshindwa kumkamata Rais aliyesimamishwa kazi Yoon Suk Yeol baada ya vute nikuvute ya saa ...
This transcript was created using speech recognition software. While it has been reviewed by human transcribers, it may contain errors. Please review the episode audio before quoting from this ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Benki ya NMB kwa kuendelea kuunga mkono shughuli mbalimbali za Serikali yake, ikiwemo Shamrashamra za Miaka ...
Picha na Janeth Mushi Arumeru. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo anatarajiwa kuongoza waombolezaji katika ibada ya maziko ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala ...
Miongoni mwao ni Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi, ambaye alifariki dunia tarehe Februari 29, 2024. Kifo chake kilitangazwa na Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan. Mwinyi ...