RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Benki ya NMB kwa kuendelea kuunga mkono shughuli mbalimbali za Serikali yake, ikiwemo Shamrashamra za Miaka ...
RAIS wa Zanzibar, Dk, Hussein Ali Mwinyi, ameiagiza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhakikisha wanafunzi wote wenye sifa wanapatiwa ili kuendelea na elimu ya juu kwa wakati. Dk. Mwinyi ambaye ni ...