Watoto wa Tanzania wameonyesha juhudi kubwa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wakihusishwa moja kwa moja kupitia ...
Mtanzania Kituo cha kushindilia gesi asilia Ubungo kukamilika Februari, Biteko aridhishwa na maendeleo - Uncategorized ...
Philimon Ndaki, mmoja wa wagonjwa waliopata huduma MOI, aliwapongeza watumishi wa taasisi hiyo kwa huduma bora, akibainisha ...
Akizungumza Januari 8,2024 jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari, Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Isihaka ...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana ameuelekeza Wakala wa Huduma za Misitu nchini (TFS) kuweka kipaumbele ...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Dk. Said Mohamed. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo ya jumla ya wanafunzi 151, ...
Kampuni ya Ujenzi na Mawasiliano ya China (CCCC) tawi la Tanzania imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano na vyombo vya ...
Viongozi wa Mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na viongozi wa dini umefanya maombi maalum ya kuliombea Taifa ili liendelee kuwa na amani, mshikamano, utulivu pamoja na maendeleo. Maombezi hayo ...
Jumla ya wananchi 97 waliokubali kuhama kwa hiari kutoka ndani ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro Kwenda Kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni Tanga, wametoa wito kwa wananchi wenzao waliobaki ndani ya ...
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) limewataka watoa huduma kuzingatia matakwa ya leseni zao kwa kuhakikisha huduma zinazotolewa zinalingana na madaraja ...
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Ilala wametakiwa kujenga umoja na mshikamano kwa sababu wanategemewa na wananchi kwa kuwa ndio kimbilio. Wito huo umetolewa Desemba 18,2024 na Mkuu wa ...