KUKU wa kisasa ni moja ya vitoweo vinavyopendwa katika maeneo mbalimbali nchini. Katika sehemu mbalimbali, watu wamekuwa wakitumia kitoweo hicho kikiwa kimechomwa au kukaangwa sambamba na vyakula ...