Profesa Mwegoha amefafanua kuwa, kwa mujibu wa makubaliano na Menejimenti ya Chuo pamoja na Serikali ya Wanafunzi, wanafunzi wote wanapaswa kujisajili bila ubaguzi. Ameeleza kuwa barua iliyosainiwa na ...
Alisema serikali itachukua hatua kwa wazazi wote ambao watakiuka wajibu wao wa kuhudumia familia zao kwa kuzuia watoto hasa wa kike kupata elimu kwa ajili ya kuolewa kwa tamaa ya mali. Aidha, alisema ...