2025 ni mwaka unaotarajiwa kutawaliwa na matukio mengi ya kisiasa nchini Tanzania kutokana na uwepo wa uchaguzi mkuu wa urais ...
Hii ni mara ya pili kwa virusi vya maradhi hayo kugunduliwa nchini Tanzania mara ya kwanza vikigunduliwa mnamo mwezi Machi ...
Siku 10 baada ya mtoto wa miezi saba kuibwa na watu wasiojulikana, familia ya mtoto huyo bado ina matumaini kuwa atapatikana ...
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka wanachama wa CCM wasiwadharau wapinzani na kuonya makada ambao wameanza kampeni mapema kuwa taarifa zao na ushahid ...
Hali ya majonzi na simanzi imetawala katika mioyo na nyuso za mamia ya waombolezaji katika maziko ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ...
Makamu huyo wa zamani wa rais ... kutetea tena nafasi za urais katika uchaguzi wa mwezi Oktoba. Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Samia Suluhu Hassan.
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuvunja na kuandika rekodi ya kuwa Rais aliyepokea idadi kubwa ya Wakuu wa Nchi (35) kuhudhuria nchini kwa pamoja tokea Tanzania izaliwe.
Rais mteule wa Marekani Donald Trump alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na rais wa China Xi Jinping. Ajenda za mazungumzo yao ni pamoja na uchumi, biashara na mtandao wa kijamii wa TikTok.
Rais Samia amesifiwa kwa kusimamia miradi mikubwa ya maendeleo, kuimarisha uchumi, na kuboresha sekta za kijamii. Kadhalika, Rais Mwinyi amepongezwa kwa juhudi zake za kukuza uchumi wa Zanzibar ...
Charlize Theron is a South African-American actress and movie producer. She has starred in several award-winning Hollywood movies, including The Devil's Advocate (1997), The Cider House Rules (1999), ...
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, MONUSCO, umethibitisha kuwa waasi wa M23 wametwaa baadhi ya maeneo jimboni Kivu Kusini, miongoni mwao ikiwa ...