Taarifa hiyo ilikuwa ya sehemu na ni vigumu sana kujua ni nini hasa kilikuwa kikiendelea katika makazi ya rais Yoon Suk-yeol, ambapo waandishi wa habari hawakuweza kuyafikia. Tunachojua, kulingana ...
Wachunguzi wa Korea Kusini wamemtaka tena kaimu rais wa nchi hiyo Jumamosi kuamuru idara ya usalama ya rais kufuata agizo la kukamatwa kwa Rais aliyeondolewa madarakani Yoon Suk Yeol. Na Dinah ...
Leo kwenye makala ya kwanza kabisa ya Jukwaa la Michezo mwaka 2025, tumeangazia raundi ya nne hatua ya makundi mechi za Ligi ya vilabu bingwa Afrika. Mwanariadha mkenya Beatrice Chebet avunja ...
Kulikuwa na zaidi ya maafisa 100 wa polisi wa Korea Kusini na walikuwa na kibali cha kumkamata - lakini wameshindwa kumkamata Rais aliyesimamishwa kazi Yoon Suk Yeol baada ya vute nikuvute ya saa ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameipongeza Benki ya NMB kwa kuendelea kuunga mkono shughuli mbalimbali za Serikali yake, ikiwemo Shamrashamra za Miaka ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi ameifungua Skuli ya Kwanza ya Ghorofa Kisiwani Tumbatu iliyogharimu Shilingi Bilioni 7.015. Akizungumza na wananchi baada ya ...
Jaji Werema aliteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali mwaka 2009 na aliyekuwa Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, nafasi aliyoitumikia hadi mwaka 2014 alipojiuzulu. Wakati dirisha la uchukuaji na ...
RAIS wa Zanzibar, Dk, Hussein Ali Mwinyi, ameiagiza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhakikisha wanafunzi wote wenye sifa wanapatiwa ili kuendelea na elimu ya juu kwa wakati. Dk. Mwinyi ambaye ni ...
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kuitekeleza kisayansi sera ya uchumi wa buluu, hivyo itaweka nguvu katika tafiti za rasilimali za bahari. Dk Mwinyi amesema ...
MANYARA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amezindua na kufungua rasmi Kituo cha Afya cha Bashnet kilichopo katika Kata ya Bashnet Halmsahauri ya Wilaya ya ...