Katika makala Jua haki zako, tunaangazia huru wa kutumia mitandao ya kijamii na katika kutumia mitaoa hiyo kuna mipaka yake. Je nchini Kenya hatua zipi zinafaa kuchukuliwa ikiwa mshukiwa ...
Mnamo 2023, madaktari waligundua uvimbe kwenye utumbo. Faye alifikiri atakufa na hata alipanga mazishi yake mwenyewe. Hata hivyo, upasuaji mkubwa uliokoa maisha yake na kumwokoa kutokana na saratani.
Hili ni jambo ambalo Dk Tabiri anajaribu kubadilisha hilo. Lakini safari yake katika hisabati haikuwa rahisi. Alikulia Ashaiman, mojawapo ya vitongoji maskini zaidi, vilivyo na watu wengi vya Tema ...
Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya kupatikana kwa Mtangazaji wa TV 3, Gwamaka Francis Gehas,maarufu kama Boiboi Mkali mkazi wa Mbezi Beach African, Dar es Salaam, aliyedaiwa kupotea mapema Januari 3, ...
Miongoni mwa nyimbo kubwa za Bob Marley ni pamoja na hii ya ‘No Woman No Cry’ iliyotoka mwaka 1974 ikiwa moja ya ngoma zinazopatikana kwenye albamu yake ya Natty Dread. Kabla ya Bob Marley kuuachia, ...
Kelele zinaweza kuleta madhara ya kiafya au kuchokoza tatizo la kiafya la mgonjwa, ikiwamo wagonjwa wa shinikizo la juu la damu. Katika maisha ya kila siku ya wanadamu tunakumbana na kila aina ya ...
WAFANYABIASHARA na wamiliki wa kampuni nchini wamependekeza sheria zinazohusiana na biashara kuainishwa peke yake kwenye rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kuepuka changamoto zinazojitokeza ...