Ni mwimbaji na mwigizaji maarufu wa Marekani. Ariana ameorodheshwa wa 2 katika orodha ya wanawake 10 warembo zaidi duniani. Anaelezwa kuwa na kipaji kikubwa. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 29 ...