Salongo Mayanja(Maniraguha) ni mganga wa kienyeji nchini Rwanda ambaye ameamua kufuata nyayo za baba yake kwa kuoa wanawake wengi. Kwa sasa bwana Salongo Mayanja ana wake wanane na anasema anataka ...
(Ni 14% tu ya watu bilioni 1.3 wa India ndio Waislamu wakati Wahindu ni 80% ya idadi ya watu.) Wanaume Waislamu nchini India wanaruhusiwa kuoa hadi wanawake wanne na idhini ya mitala, anasema ...
Serikali ya Morocco imependekeza marekebisho ya sheria kuwaruhusu wanawake kurithi mali, umri wa kuolewa kuongezwa kutoka 17 hadi 18 na kuwekwa kwa masharti kwa wanaume wanaotaka kuoa mwanamke ...