Rais wa awamu ya pili wa Kenya hayati Daniel arap Moi amezikwa hii leo baada ya jeshi kutoa heshima kwa kupigiwa mizinga 19. Maafisa wa kijeshi walitoa heshima kwa kufyatua mizinga lilipo kaburi ...